SIMBA KUONDOKA NA KIKOSI KAMILI KUELEKEA ZANZIBAR JUMATANO HII Kikosi cha Simba kinaondoka Jumatano ya wiki hii kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Mapinduzi Cup.
Safi kabisa.. Waliposikia Simba itapeleka kikosi mbadala nao wakaanza wanataka elekeza juhudi FA na ubingwa Tanzania bara.Basi na nyie leteni kikosi cha kwanza!
ReplyDelete