December 4, 2018

6 COMMENTS:

  1. Kocha mbishi sana, shibisha timu upande wa kiungo, washambuliaji wawili wanatoaha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ww ndyo mbishi hutaki kumuacha mwenye taaluma yake afanye kazi acha kujidai wajua wakati huna unalolijua

      Delete
    2. Umempasha !!! safi sana.

      Delete
  2. Kocha mbishi sana, shibisha timu upande wa kiungo, washambuliaji wawili wanatoaha

    ReplyDelete
  3. Wabongo mna jua michezo ya umber Rutty tu...soka tuwachie wengine

    ReplyDelete
  4. Haihalisi matokeo watakaoyapata Simba katika hii mechi lakini nadhani kocha wetu wa timu ya Taifa ana kitu cha kujifunza kwa Patrick Ausems yakwamba kikosi kilichokupa ushindi huwezi kukipangua kirahisi rahisi bila sababu za msingi kwani licha ya wigo mpana wa uchaguzi wa wachezaji katika kikosi chake kocha wa Simba amepanga kikosi kile kile kilichompa ushindi katika mechi ya mwanzo licha yakuwa huu ni mchezo wa knockout na Simba tayari ilishapata ushindi mnono nyumbani lakini kocha wa Simba hakujaza mabeki watupu kuulinda ushindi walioupata Dar badala yake ameamua kuingia raundi ya pili ya vita kana kwamba ndio kwanza vita inaanza. Siielewi dhana ya TFF ya kuendelea kufanya kazi na Amunike wakati Magufuli alimtoa nduki Nape Nnawiye licha yakuwa ukizungumzia uraisi wa Magufuli 2015 basi Nape Nnawiye hawezi kukosa kwenye kitabu cha kumbukumbu ila Magufuli ni mwanamme wa shoka katika wanaume wa kitanzania kama kiongozi na hasa katika kusimamia maslahi ya Taifa kwa kweli yupo kijihadi zaidi kulinda maslahi ya nchi na wananchi wake kuliko ya chama chake au maslahi yake binafsi. Na kama utasema naleta siasa basi hata ukweli kumbe nao ni siasa kwa hivyo wacha tuendelee kuishi nao. Karia wa TTF na timu yake lazima waelewe timu ya Taifa na sio timu ya TFF kwa hivyo lazima waweke maslahi ya Taifa kwanza na hakuna muhali katika hilo. Tumeona amemrejesha mtu aliefeli majukumu aliyopewa awali ndani ya TTF kama Ame Ninje lakini cha ajabu amerejeshwa na kupewa majukumu mazito zaidi na hii yote inaonesha jinsi gani Karia anavyoichukulia TTF kama taasisi yake binafsi lakini kila uchungu una kikomo chake ila hali ya sasa ya timu ya Taifa ni dhahiri imechangiwa na uongozi mbovu kama ilivyokuwa hapo awali na kama itatokea Stars haikufuzu Afcon basi Mara hii hapatachimbika tu bali pataharibika.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic