Hivi karibuni Kakolanya aligoma kuitumikia Yanga akishinikiza kulipwa fedha zake za usajili pamoja na mshahara wa miezi kadhaa ambao hajapata mpaka sasa.
LIVE KOCHA WA YANGA AKIMCHANA BENO KAKOLANYA BAADA YA KUPEWA MILIONI 2
Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amekataa
kumpokea kipa wake Beno Kakolanya baada ya kugomea kuitumikia timu yake
kutokana na madai ya kutolipwa stahiki zake.
Hivi karibuni Kakolanya aligoma kuitumikia Yanga akishinikiza kulipwa fedha zake za usajili pamoja na mshahara wa miezi kadhaa ambao hajapata mpaka sasa.
Hivi karibuni Kakolanya aligoma kuitumikia Yanga akishinikiza kulipwa fedha zake za usajili pamoja na mshahara wa miezi kadhaa ambao hajapata mpaka sasa.
Kocha haki za wachezaji wewe hazikuhusu. Kazi ya kucheza ni ngumu kuliko kufundisha, akivunjika wakati anatumikia timu bila malipo atakuwa amepoteza kila kitu na ataumia maishani mwake. Mpe nafasi kama amemaliza mgogoro na uongozi. Wewe una mishahara kutoka DRC na Yanga, mmoja ni wa uhakika na hivyo huna stress kama wachezaji. Rudisha moyo na uwawazie kwa nafasi zao.
ReplyDeleteNakuunga mkono kk mana huyu kocha ss anajifanya km mungu mtu pale Yanga k... Mbisi zake, ss km mtu anadai asigome?
DeleteHiyo kocha ni mwendawazimu
ReplyDeleteMbona yeye ana mishahara miwili
ReplyDeleteGood decision from the team coach
ReplyDeleteKocha mwenye akili. Ukimsikiliza huwezi kuongea pumba. Fact ni wakigoma wote wanaodai itakuaje? Mtawapa pesa? Hivyo ni busara kuheshimu maamuzi ya wanaodai huku wanacheza, kwanza ingekua vitani ameshauwawa asiharibu wengine, fact ziseme sio porojo

ReplyDeleteNamuunga kocha mkono.Nidhamu ndiyo kila kitu..
ReplyDeleteAlichofanya Musiba nacho siyo kibaya ila nakiona katika jicho la ubinafsi.Angepeleka ile pesa kwa uongozi na ukampatia Beno ingekuwa bora zaidi.Je ile pesa inatoka kwa Musiba au kwa Klabu ya Yanga? na Je itapunguza deni analodai Beno?Naona mapungufu fulani hapa,Muda utatuamnbia