December 4, 2018







Mabao mawili yaliyofungwa na Claytus Chama yameifanya Simba kwenda mapumziko ikiwa inaongoza kwa 2-0 dhidi ya Mbabane Swallows ambayo ipo nyumbani eSwatini na kipindi cha pili Okwi akafunga bao la tatu dakika ya 51 na Kagere akafunga bao la nne dakika ya 62.

Simba inaongoza kwa mabao hayo manne baada ya kushambulia kwa muda mwingi huku wakionekana wakiwa na mfumo mzuri wa kujilinda.

Katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba ilishinda kwa mabao 4-1, hivyo kimahesabu hadi sasa inaongoza kwa mabao 8-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic