December 21, 2018


Kipindi cha Spoti Hausi kilikuwa tena hewani jana ambapo wachambuzi wako watakuletea mambo mengi, lakini baadhi ya uwezo ulioonyeshwa na beki wa Simba Zana Coulibaly ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuibeba timu hiyo.

Pia muendelezo wa Ligi Kuu Bara, Ligi Kuu England pamoja na sababu za kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kwenye kikosi cha United, lakini pia leo Spoti Hausi tutakuwa na mchezaji bora wa mchezo wa kikapu Tanzania, Amin Mkosa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic