December 2, 2018



Bondia Tyson Fury amepata sare dhidi ya Deontay Wilder katika pambano la uzito wa juu la WBC jijini Los Angeles, Marekani.

Mabondia wote walikutana wakiwa hawajawahi kupoteza lakini suala la sare hiyo limezua utata.

Wako wanaoamini Fury kutoka Uingereza alistahili kushinda na wengine Wilder aliyekuwa nyumbani Marekani.

Takwimu zinaonyesha Fury alifanya vizuri zaidi lakini suala la kuangushwa mara mbili limechangia kushusha maksi zake kwa maana ya ujumuisho wa mwisho.
TAKWIMU Wilder Vs Fury

πŸ₯Š Makonde yaliyotua:
πŸ‡¬πŸ‡§ Fury - kutoka 46 hadi 223 = 21%
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Wilder - kutoka 40 hadi 248 = 16%

πŸ’₯ Makonde ya nguvu:
πŸ‡¬πŸ‡§ Fury - kutoka 38 hadi 104 = 37%
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Wilder - kutoka 31 hadi 182 = 17%

🧐 JUMLA: 
πŸ‡¬πŸ‡§ Fury - kutoka 84 hadi 327 = 26%
πŸ‡ΊπŸ‡Έ Wilder - kutoka 71 hadi 430 = 17%









2 COMMENTS:

  1. Mmmnh Labda Mie Kwakuwa Sijui Ndondi na Sheria Zake Lakn Kwa Jinc Nilivyoliangalia Panbano Live Canal Sport 1 Asubuh ya Leo Niliona Wilder Alistahili Ushindi Kuliko Fury Aliyekuwa Na Masihara Mengi Kuliko Concentration Kwny Kupigana

    ReplyDelete
  2. Duh weh jamaa umeangalia kweli pambano au unachanganya madesa fury alikua anapigana katulia kabisa hana hasira kuliko wilder na mpaka mwisho kama uliona baada ya pambano kuna mzee aliulizwa akasema we all knows who won and he deserved it but for the game its split decision lets wait for rematch ww unasema furry alikua na hasira duh

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic