December 27, 2018

7 COMMENTS:

  1. Kosa si Kosa ila kosa ni kurudia kosa....mwaka jana tuliidharau Green Warriors wakatutoa mwaka huu mashujaa hizi timu hata hazifahamiki....Hapa kuna shida moja kubwa ya dharau, kutojituma na kuridhika hii ni hatari ikiendekezwa itaigharimu Simba.....hawa wachezaji wanatimiziwa mahitaji yote lakini hakuna fighting spirit

    ReplyDelete
  2. Halafu wasipopangwa kikosi cha kwanza wanalalamika.

    ReplyDelete
  3. AIBU kila mwaka tunadharau timu . I AM DISSAPOINTED AS A SIMBA FAN

    ReplyDelete
  4. Yaleyale ya mwaka jana ya kuwatumia wa akiba juu ya malalamiko ya wengi hapana aliyesiki basi sijui kombe la propesa tena yatakuwa kama ya mwakajana au labda matokeo ya jana yatawazindua

    ReplyDelete
  5. Hakuna kufungwa kuzuri ila baada ya Simba kupoteza kwa Green wariaz. msimu uliopita ndio iliyokuwa chachu ya mafanikio ya Simba hii iliyochukua ubingwa wa ligi kuu. Na kupoteza kwa Simba kwa Mashujaa ni moja ya fursa muhimu waliokuwa wanatakiwa kuipata ya kuwaamsha na kujitafakari upya kuulekea ligi ya mabingwa na kutetea ubingwa wao wa ligi kuu. Kupigwa na Mashujaa ni fursa hadimu kwa Simba na wala sio mauzi kama utakuwa ni mtu unaeichukulia kipingamizi kwenye maisha ni sehemu ya kuinua uwezo wako wa ufahamu. Sometime you can't have everything in life at the same time. Ulitarajia Simba awe bingwa wa kombe la mapinduzi,awe bingwa wa FA,awe bingwa wa ligi kuu, awe bingwa wa Africa?haiwezekani. SIMBA wanachotakiwa kufanya hivi sasa ni kufokasi na ligi kuu zaidi na club bingwa Africa wasijizonge na wala hawana haja ya kuwalaumu wachezeji. Kinachotakiwa ni kuwaandaa zaidi ya kuona udhaifu wao kwani kazi ndio kwanza imeaanza. Ila sidhani kama mfumo wa FA wa Uingereza unaweza kufanya kazi Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa siku moja ya kupeleka timu muwakilishi wa Tanzania aneikamia Simba au Yanga au Azam kwa nguvu zao zote katika mechi moja na kwenda kufanya vichekesho Africa lakini kwa busara zaidi haya mashindano yangekuwa ya two legs I mean home and away ili kuyafanya yawe ya ushindani zaidi .

    ReplyDelete
  6. simba sc hatuna kikosi kipana bali tunamizigo ya wachezaji hayajitumi

    ReplyDelete
  7. Kweli tutapambana hd tubebe ubingwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic