December 16, 2018

9 COMMENTS:

  1. Sawa ila huwezi kwenda na mbinu ile ile ya Mbabane Swallows ikafanya kazi kwa Nkana kocha lazima abadilike. Hata Mbabane wangekuwa makini kama Nkana wangetuadhibu hapa Daresalam. Kila mtu anafahamu yakuwa Simba bado hawajakaa vizuri kwenye safu ya ulinzi lakinini la kushangaza kocha bado anashindwa kurekibisha tatizo.

    ReplyDelete
  2. Kocha atafutiwe msaidizi wake haraka iwezekanavyo. Ikiwezekana mzawa mwenye uweledi wa kumshauri kocha bila ya uoga.

    ReplyDelete
  3. Simba tunahela hatujui tuzitumiaje. Hivi kwa timu inayotaka kuwa bora Africa inakuwa na beki kama Shabalala na Gyan? Pia timu kubwa kama TP Mazembe inaweza kumnunua Boko na Kichuya. Tuweni wakweli, tumewaona washambuliaji wa Njana na mabeki wao.

    ReplyDelete
  4. Tatizo la kutakuwa na beki tatu linajulikana muda mrefu toka dirisha la usajili likiwa wazi. Mechi ya kirafiki na Asante Kotoko tuliona wachezaji wazuri but hakuna usajili uliofanyika. Tutamchosha sana Dewji kama hatutukuwa na watu wa maana kusajili wachezaji wenye hadhi ya kimataifa.

    ReplyDelete
  5. Mbona shabalala na Kichuya wapo freshi na kwa kiasi fulani katika mechi ya Nkana ni miongoni mwa wachezaji walioonyesha uwezo mkubwa. Gayan ni mchezaji mzuri ila namba mbili ana lazimishwa kucheza inapaswa kusogezwa mbele kama winga teleza na wakati huohuo tayari anavinasaba vya ulinzi kwa hiyo atakuwa msaada kwa beki wa pembeni.Simba tayari wameshamleta beki halisi wa pembeni. Tatizo la Simba lipo kwenye ulinzi wa kati kuanzia kiungo cha chini, vile vile forward wa kulazimisha matokeo kama jinsi fowadi za Nkana ilivyokuwa ikilazimisha kuingia kwenye kumi na nane ya Simba bila ya uoga.Ukiangalia kwa undani sasa hivi akizimwa Chama hakuna mchezaji wa kulazimisha mabao ni hatari.

    ReplyDelete
  6. Kweli. Kiungo ya simba Jana ilishikwa na kushindwa kucheza mpira wake uliozoeleka.

    Simba wasibweteke kwa goli LA ugenini, maana kwa aina ya timu ile lazima watapata goli hapa taifa pia

    ReplyDelete
  7. Yaani unamaanisha nkana wamebustiwa kwa kushangiliwa na nkana fc. Mngerikodi shangwe za mashabiki wa simba then muweke uwanjani

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic