December 2, 2018


Kikao cha Kamati ya utendaji ya klabu ya Yanga kilichokaa jana asubuhi kimewateua Samuel Lukumay kuwa Kaimu Mwenyekiti na Siza Lyimo akiteuliwa kuwa Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo.

Kamati hiyo imefikia maamuzi hayo kutokana na nafasi hizo kuwa wazi na sasa Lukumay atashikilia nafasi hiyo mpaka mwenyekiti Yusuph Manji atakapolejea katika majukumu yake mwakani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic