August 4, 2021

NYOTA wa Yanga, Wazir Junior amesema kuwa matokeo ya leo ilikuwa bahati mbaya kwao kwa kuwa wamepata matokeo mabaya ambayo walikuwa hawatarajii. Amesema kuwa wana amini kwamba watafanya vizuri katika mchezo wao wa mwisho uliobaki

Mchezo wao ujao ni dhidi ya Express ambao ni vinara wa kundi A wakiwa na pointi nne hivyo Yanga inapaswa kushinda ili kutinga hatua inayofuata.

 

2 COMMENTS:

  1. Mlitarajia nini kwani uto bana

    ReplyDelete
  2. Wazir ulitalajia nini na kikosi chenu cha kuunga unga kikosi cha kwanza kama cha pili hakuna mabadiliko mutateseka sana hadi mnyama atosheke utawala

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic