December 27, 2018

3 COMMENTS:

  1. Ikiwa Zahera anafika hadi kuomba yanga ifanyiwe mchango ili isafiri kwa ndege kwa kujuwa hakuna hela, vipi basi anashikilia usajili mpya wa wachezaji kadhaa ambao usajili huo utagharimu mamilioni mengi ya shilingi, jee zitatoka wapi?

    ReplyDelete
  2. Usajili ni kati ya majukumu makubwa ya msingi ya uongozi.

    ReplyDelete
  3. Ila usafiri kwa sbb basi wanalo uongozi ungeamua tu kuipeleka timu kwa gari ila Team coach akaona siyo sawa ndiyo akahamasisha michango.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic