VIDEO: MURO AWANYIMA SIMBA USHINDI TAIFA JUMAPILI
Jerry Muro Mshabiki wa Yanga na aliyewahi kuwa msemaji wa klabu ya yanga Ameisifu timu yake kwa kuibuka na ushindi dhidi ya African Lyani katika mchezo wa Ligi kuu ya Tanzania Bara katika uwanja wa Shekh Amri Abedi jijini Arusha na kuwa tambia watani wao simba kuelekea kwenye mchezo wao wa klabu bingwa afrika dhidi ya klabu ya Nkana
0 COMMENTS:
Post a Comment