Kama ulilimisi vichekesho vya kundi la Ze Comedy Shoo linaloundwa na wasanii Joti, Masanja Mkandamizaji, Mac Regan, Vengu, basi pokea hii habari njema kuwa vichekesho hivyo vinarudi tena.
Hayo yamebainishwa na mmoja kati ya wasanii hao Mac Regan ambapo amekanusha tetesi zinazoendelea mitandaoni kuwa wamegombana.
0 COMMENTS:
Post a Comment