BAADA YA KUCHAPWA 2-1 SPORTPESA NA WAKENYA KISHA KUBEBA VIRAGO, UONGOZI SIMBA WAJA NA TAMKO
Baada ya kutupwa nje ya michuano ya Kombe la SportPesa, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ametoa pole kwa mashabiki na wanachama wa timu hiyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika akitoa pole zake kwa mashabiki wa Simba huku akiandika kuwa togwa limeingia inzi.









Manara. Kilichobakia kukamilisha ratiba ya ligi na klabu bingwa afrika. Maana malengo yamefeli.
ReplyDeleteMapinduzi out,Mpesa out,club bingwa africa??
ReplyDeleteTatizo viongozi hamsikilizi maoni ya wanachama na mashabiki went. Kocha ni tatizo. Wachezaji hawajitumi ipasavyo wanacheza kama wapo mazoezini kuchezea sana mpira badala ya kusaka magoli. Ukisema unajibiwa pumba na wahusika. Potelea mbali acha tufungwe tuu nitabakia SIMBA
ReplyDeleteKOCHA NI TATIZO
ReplyDelete