January 25, 2019


Moja ya kitu cha msingi unachopaswa kufahamu ni kuhusu Tuzo iliyonzishwa na Kampuni ya Clouds Media chini ya Kipindi cha Clouds 360 ambayo ina lengo la kuthamini kazi wanaofanya wakurugenzi mbalimbali nchini.

Mohammed Dewji ambaye ndiye mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba, amejinyakulia tuzo hiyo mwaka huu na atakabidhiwa january 25 katika Hoteli ya Serena.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic