VIDEO: SIMBA SI BABA WALA MAMA YANGU
Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amewatolea povu watu wote wanaomtukana mitandaoni pale tu klabu ya Simba inapofungwa.
Manara amesema kazi yake ni kuisemea timu na kutoa taarifa zote zinazohusu klabu hiyo na si vinginevyo, hivyo kitendo cha watu kumtukana kama vile yeye ndiye Mchezaji au Kocha kinamkwaza sana.
0 COMMENTS:
Post a Comment