Mwanachama mmoja ambaye hajataka jina lake litajwe, ameahidi kula sahani moja na Zahera endapo hatamrejesha kikosini kipa huyo.
Mwanachama huyo lialia na Yanga damu, amesema ifikir hatua Zahera atumie busara kwa mchezaji huyo ambaye anamwani ni ngome kubwa kwenye eneo la ulinzi.
Amemtaja Klaus Kindoki kuwa ni kipa anayejitahidi lakini hajafikia uwezi wa Kakolanya ambaye anaaminiwa na wengi zaidi ndani ya kikosi.
Ikumbukwe Zahera alitangaza kutokuendelea kuifundisha Yanga endapo uongozi utamrejesha Kakolanya katika kikosi cha Yanga.
Pia, Zahera aliachana na Kakolanya baada ya kugomea kusafiri na timu sababu ya madai ya fedha za mishahara na usajili.








KOCHA TUSIMCHANGANYE TIMU IPO VIZURI TUMEPOTEZA MECHI MOJA TU KWENYE LIGI
ReplyDeleteYeye muache ale sahani moja na Zahera sisi tutakula sahani moja na yeye
ReplyDelete