February 10, 2019


BAO la dakika ya 50 kwa KMC lililofungwa na Abdul Hilaly halikuweza kuwapa KMC pointi tatu mbele ya Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Iliwachukua dakika 14 Alliance kuweka mzani sawa kupitai kwa Israel Patrick.

Mpaka dakika tisini zinakamilika hakuna ambaye alipata bao la ushindi na kufanya ngoma iwe sare leo Uwanja wa Uhuru.

Matokeo hayo yanaifanya KMC ishindwe kulipa kisasi kwa Alliance kwani mzunguko wa kwanza walifungwa bao mabao 2-1 Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic