February 6, 2019




LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo ikiwa ni mzunguko wa 25 katika viwanja tofauti timu 14 kumenyana leo kutafuta pointi tatu.

Tanzania Prisons dhidi ya Mbao Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Singida United dhidi ya Yanga Uwanja wa Namfua, Singida.

Kagera Sugar dhidi ya Mbeya City, Uwanja wa Kaitaba, Kagera.

Azam FC dhidi ya Alliance, Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.

Stand United dhidi ya Ndanda, Uwanja wa Nyamagana, Shinyanga.

Lipuli FC dhidi ya KMC Uwanja wa Samora, Iringa.

JKT Tanzania dhidi ya Biashara United Uwanja wa Mej.Gen. Isamuhyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic