February 26, 2019

8 COMMENTS:

  1. Ndemla wanamuua kipaji chake. Anathaminiwa ulaya kwa simba ni garasa. Lazima kuna tatizo

    ReplyDelete
  2. Huko ulaya mbona kila siku Ndemla anakwenda kufanya majaribio na anashindwa na kurejea Simba? Ndemla bado hajajitambua na sidhani kama atajitambua kwa sababu Ndemla sio tena mtoto mdogo ni mtu mzima katika mpira. Labda kwakuwa kakulia pale Simba anaona yupo nyumbani hakuna haja ya kujituma zaidi lakini kama ni ushauri wangu kwa Ndemla basi angepigana kufa kuhakikisha anakuwa na namba ya kudumu na nakuwa mchezaji muandamizi pale Simba kwani Ndemla ni mtoto wa Simba yaani kama akina Andre Iniesta wa lamasia walivyokuwa wakiona fahari kuipigania na kuona wao ndio Barcelona halisi na kuwa na namba ya kudumu na kuiongoza timu yao ni jambo la lazima lakini hawa vijana wetu wa kitanzania namna gani? Mzungu yule wa Simba ukimchunguza kwa makini hawezi kumuhakikishia namba mchezaji kama yeye mwenyewe mchezaji anashindwa kumuhakikishia kocha wake kuwa anaweza kuliko mwengine. Wakati Simba inahaha kutafuta wachezaji wa viungo kwenye dirisha la usajili Ndemla yupo pale Simba na alikuwepo pale kabla nini anachokisubiri Ndemla kuonesha uwezo wake halisi au anasubiri kwenda kuitumikia bure Yanga kama anavyofanya rafiki yake Ibrahimu Ajibu? Kwa kiasi fulani ni kuwapa pongezi Simba jinsi walivyo wavumilivu kuwasubiria wachezaji wao ili waje kuwa msaada kwa timu lakini nadhani kuna vijana pale simba wanaitumia nafasi hiyo ya muajiri wao vibaya kwa kuamua kubweteka na kutokuwa na jitihada za dhati za kunyanyua viwango vyao.

    ReplyDelete
  3. Ndemla ni mchezaji muhimu sana kwa mechi ya leo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic