February 26, 2019

Lipuli dhidi ya Simba
Uwanja wa Samora
Lipuli 1-3 Simba
Wafungaji kwa Simba ni Clatous Chama dakika ya 5 na 44 na Kagere dakika ya 57.
kwa Lipuli Paul Nonga dakika ya 18



90+1 Kagere nje ndani Salamba Zinaongezwa dakika 4
90 zinakamilika
89Zana anachezewa rafu na Paul Nonga88 Kona kwa Simba Boco anapiga kichwa Kagere anamalizia goli boco anacheza faulo linakataliwa.

87 Mpira wa kwanza wa Niyonzima anatoa pasi kwa Mzamiru
84 Niyonzima anaingia anatoka Chama


82 Manula,Kagere anapiga shuti linakwenda nje
81 Dilunga anakosa nafasi ya wazi akipewa pasi na Chama 80 Offside ya pili kwa Lipuli
79 Bocco Ofiside78 Kagere anachezewa rafu Zimbwe anapiga faulo Bocco anaotea.

77 Zimbwe, Kagere anadhibitiwa.
76 Lipuli wanapiga kona inapotezwa

75 Zana,Wawa , Zana ,Wawa, Zana anaanua majalo
74 Saliboko, Yusuphu, Wawa. Zana
73 Sonso anapiga chenga za hatari Kagere anaupata mpira anapiga paisi inapotea.

72 Boco anaotea  71 Mlipili anaonyeshwa kadi ya njano.

70 Boco anatuliza mpira kwa mkono inakuwa faulo.

67 Bocco anachezewa rafu kwa kupigwa kiwiko Paul Ngalema anaonyeshwa kadi nyekundu anatolewa nje.

66 Manula, Paul, Soliboko, Ngalema,
65 Keneth Masumbuko anatoka Seif Karihe wa Lipuli.

64 Shamte anawapunguza wachezaji wa Simba shuti lake linaokolewa62 Dilunga anachezewa faulo, Saluboko Daruesha anaonyeshwa kadi ya njano
60 Shuti la kwanza la Dilunga linakuwa on target
59
 Okwi anatoka anaingia Dilunga
57 Chama, Okwi, Kagere akachop kwa guu la kulia ndani Goool la tatu kwa Simba linapachikwa na Meddie Kagere 'MK 14'

55. Nonga, Karihe, Ngalema, Fredy, William Galax anajaza ndani inakataliwa na Zana.
54 Boco anampa Chama, Kagere anapiga kichwa kinakwenda nje 53 Faulo anapiga Chama, Zana, Mlipili anapiga kichwa kinatoka nje.

52 Zana Chama, Bocco anapoteza, Kadi ya njano Seif Karihe.


50 Mohamed Yusuphu, Nonga, Wawa anatoa mpira nje, Ngalema, Jimy unatoka nje.


49 Nonga anapew huduma ya kwanza baada ya kugongana na Wawa.


48 Zana anamwaga maji yanatolewa nje na Shamte, Kona inapigwa na Okwi inatoka nje.

Kipindi cha pili

Mpira kwa sasa ni mapumziko

Zinaongezwa dakika 3

45 Lipuli wanaotea 43 Chama anapiga bao la pili kwa free kick, Gooool la pili linapachikwa na Chama tena

42 Manula, Yassin anachezewa faulo karibu na eneo la hatari.

40 Shamte, Zimbwe,Owi anachezewa faulo karibu na eneo la hatari.

38 ManulaMohamed Yusuphu anaunyaka

35 Chama anajaza maji yanakosa mchezaji kat 34 Karihe anacheza faulo kwa Mzamiru 32 Lipuli wanapiga kona ya nyingine

31 Faulo kwa Lipuli na Haruna Shamte inakuwa kona. 30 Zana anamwaga kubwa inatoka nje 29 Kona ya kwanza kwa Simba anapiga Okwi anampa Zimbe anajaza ndani inatoka nje.

28 Mlipili anamchezea rafu mchezaji wa Lipuli, unarushwa kwenda kwa Manula.

27 Okwi anapiga pembeni kichwa cha Kagere.


25 Mkude,Zimbwe, Kagere Yusuphu anaunyaka.

24 Okwi anajaribu mpira unatoka nje, Karihe, Zana, Chama unatolewa nje.

22 Okwi anapenyeza inaishia mikononi mwa mlinda mlango wa Lipuli.

20 Kagere anaotea



17 Paul Nonga anasawazisha bao akiwa nje ya 18 Gooool la kwanza la Lipuli.

15 Okwi anapaisha faulo  13 Kagere anachezewa faulo karibu na eneo la hatari, kadi ya njano kwa Haruna Shamte.

12 Lipuli wanapasiha faulo inakwenda mawinguni.
11 Lipuli wanacheza faulo na Mlipili
10 Chama, Zana, Chama anajaza mpira unaishia kwa nlinda mlango wa Lipuli.


09 Wawa anaaotea, Manula, Zimbwe, Mlipili, Karihe anapiga nje mpira.

Dakika ya tano Zimbwe anatoa pasi safi inamfikia Chama kwa pasi ya Okwi aliyecheza faulo , Gooooool la kwanza linapachikwa na Chama.

Kagere anakuwa offised mbili dakika ya pili na ya tatu

11 COMMENTS:

  1. Jinsi mnavoripoti mpira kwa maandishi hata haieleweki kama goli limefungwa au la...tunaomba mripoti kama zamani...much salute saleh jembe.

    ReplyDelete
  2. Hivi anayeripot mpira ni mtu au roboti?

    ReplyDelete
  3. Yanga anamuzidi Simba mechi sita ambazo simba bado ana viporo.Lakini idadi ya magoli ya kufunga kati ya timu hizo inataka kulingana Yanga 42 wakati Simba ana 41!

    ReplyDelete
  4. Roho ina wauma saleh jembe kuriport magoli ya Simba.Na hii si mara ya kwanza hata mechi ya Al Ahly hawakuweza kusema goooooliiii.Huwa wanaishia kusema limefungwa goli zuri

    ReplyDelete
  5. Enter your comment...heeee basi umepinda ndo nin ulichoandika sasa

    ReplyDelete
  6. SASA WEWE MWANDISHI KWELI SHIDA. DAK 17 PAUL NONGA ANASAWAZISHA BAO. MBONA HUJASEMA BAO LILILOFUNGWA KABLA YA HAPO YAANI GOLI LA 1 LA SIMBA DAKIKA YA NGAPI NANI KAFUNGA? UANDISHI OVYO KABISA.

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  8. Ajabu kabisa. kwa makala ya huyu jamaa goli ni 1 la Lipuli ndilo limeripotiwa. ni nini hii?

    ReplyDelete
  9. Wapende wasipende simba itazidi funga magoli na kwa sasa kila mechi ni at least 2 kila mechi.wakati yanga meche 4 zilizopita za ligi kuu wametupia 2..Simba imepiga 10.Wariport wasireport magoli hiyo ndiyo hali halisi

    ReplyDelete
  10. Mwandishi mshamba kabsa, anaripoti chenga badala ya magoli. Upuuuz mtupu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic