February 20, 2019




MSHAMBULIAJI wa timu ya Mwadui FCyenye ngome yake mkoani Shinyanga, Salim Aiyee, anafanikiwa kuvunja ufalme wa mshambuliaji Heritier Makambo kwa kuzifumania nyavu kwa sasa kwenye msimamo.

Makambo wa Yanga alikuwa ni kinara wa ufungaji baada ya kufunga mabao 11 kwenye michezo ya Ligi aliyocheza mpaka sasa.

Lakini jana mshambuliaji Aiyee alivunja ufalme huo baada ya kufunga mabao 2-1 dhidi ya Biashara Unite na kumfanya afikishe jumla ya mabao 12 kwa sasa kwenye ligi.

Mwadui FC ipo nafasi ya nane kwenye msimamo baada ya kucheza michezo 28 ikiwa imekusanya pointi 33.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic