February 26, 2019



KAKA wa kiungo mshambuliaji wa Manchester United, Florentin Pogba, amesema kuwa Paul Pogba amekuwa na mahusiano mazuri na meneja wake Jose Mourinho.
Florentin Pogba amesema ipo wazi kwa sasa kwa mdogo wke ana furaha akiwa mikononi mwa Ole Gunnar Solskjaer.
"Namna gani kwa sasa Pogba anavyoweza kuonyesha uwezo wake tofauti na alipokuwa na Mourinho. Chini ya meneja mpya naoana anakuwa na mabadiliko kila iitwapo leo.
"Kuhusu mahusiano yake na Jose Mourinho, sihataji kujua namna iliyokuwa na sitajua tena hali ilikuje na wala sikuwahi kumpigia simu kumuuliza juu ya mwalimu wake, hata sasa pia sijafanya hivyo juu ya Ole, ila kinachotupa majibu ni kupitia matokeo ambayo yanaonekana," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic