UONGOZI SIMBA WATAJA KITAKACHOWAPA NGUVU CAF Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Msemaji wake, Haji Manara, umesema kurejea kwa beki wake kiraka, Erasto Nyoni kutaiweka timu katika mazingira mazuri.
0 COMMENTS:
Post a Comment