February 4, 2019


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Job Ndugai, amefunguka namna alivyokosa usingizi kutokana Simba kuchapwa mabao 5-0 dhidi ya Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Ndugai ameeleza kuwa sababu ya Simba kupoteza mchezo huo ni namna hali ya hewa ilivyo huko Alexandria, Misri, kuwa tofauti na Dar es Salaam.

3 COMMENTS:

  1. Ni kweli site tumeumia.Pia timu Simba ilicheza na timu ambayo tayari imeishachukua ubingwa wa CAF mara 8 na gharama ya usajili wa mchezaji mmoja Al Ahly ni zaidi ya usajili wa kikosi kizima Simba

    ReplyDelete
  2. Tanzania pekee ndio huwa tuna sababu za toa sabau zile zile hata huyo sio selikari bali ni ndugai ndio kasema sio kauli ya selikari

    ReplyDelete
  3. Warabu walivyo makini tayari walishatangulia Dareslaam kuliko simba kuja kuweka mazingira sawa ya timu yao. Watanzania tuna ugoigoi fulani hivi katika kufanya mambo yetu na ndipo tunapopigiwa na wageni.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic