March 20, 2019




Kikosi cha Nkana FC kitaivaa Sfaxien ya Tunisia katika mechi yace ya kwanza ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho.

Nkana FC Indio timu anayochezea Mtanzania Hassan Kessy ambaye alianza kuonyesha cheche zake akiwa na Mtibwa Sugar, Simba na baadaye Yanga.

Kikosi cha Nkana FC kipo katika michuano hiyo baada ya kutolewa na Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Gor Mahia kutoka Kenya wao watawavaa Berkane kutoka nchini Morocco.

MECHI: 

Nkana FC Vs Sfaxien
Etoile du Sahel Vs Al Hilal
Hassan Gadir Vs Zamalek
Gor Mahia Vs Berkane

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic