March 8, 2019

13 COMMENTS:

  1. sioni jipya sana hapo na sidhani kama uoembuzi yakinifu umefanyika kupata hayo majina

    ReplyDelete
  2. Hamna kitu hapo, tutachapwa tuu na Uganda

    ReplyDelete
    Replies
    1. Basi muongeze yule mbeba mizigi Wawa maana kiroho kinakukereketa kama umekula naniiii

      Delete
  3. Mohamedi khusein shabalala inaonekana uzoefu alionao na anaoendelea kuupata kwenye mechi kubwa za kimataifa barani Africa sio kigezo kizuri cha kumteua kwenye timu ya Taifa badala yake makocha na wahusika wameamua kuteua beki tatu zianazocheza mechi za ndani peke yake? Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana kama shabalala angekuwa Mganda basi angekuwa miongoni mwa wachezaji watakaoitwa nwanzo kwani mechi hizi za kimataifa sio mechi za kwenda kufanyia majaribio ya wachezaji bali ni mechi zinazohitaji wachezaji wenye uzoefu zaidi. Vipi Abdi Banda wa sauzi? Hapo utaona kuwa siasa zimetawala zaidi ndani ya Taifa stars kuliko malengo ya mpira. Huyu Amunike ni Kocha wa hovyo kama hao walomuajiri na no doubt Tanzania lazima itapigwa na Uganda.

    ReplyDelete
  4. Naona yule wa kileleni kwa kupachika magoli hayumo katika list

    ReplyDelete
  5. Tuseme Salim Kimenya kinara wa kupachika mabao katika ligi guu ndio hafai g

    ReplyDelete
  6. Soma hiyo Saleh mzee wa miassist yumo?Mliandikaga sana eti anapaswa ingia Taiga stars

    ReplyDelete
  7. Salum Kimenya hafai, Tshabalala hafai, Mnakatisha tamaa wachezaji wetu.

    ReplyDelete
  8. Ibrahim Ajibu hafai pia?

    ReplyDelete
  9. Yule wa azam sure boy au dilunga wanaojua kupiga penetration passes siwaon pia duh

    ReplyDelete
  10. Kwa muono wa Kocha hao ndio wachezaji bora aliowaona. Tumwache na tumwamini

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic