Mohamedi khusein shabalala inaonekana uzoefu alionao na anaoendelea kuupata kwenye mechi kubwa za kimataifa barani Africa sio kigezo kizuri cha kumteua kwenye timu ya Taifa badala yake makocha na wahusika wameamua kuteua beki tatu zianazocheza mechi za ndani peke yake? Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana kama shabalala angekuwa Mganda basi angekuwa miongoni mwa wachezaji watakaoitwa nwanzo kwani mechi hizi za kimataifa sio mechi za kwenda kufanyia majaribio ya wachezaji bali ni mechi zinazohitaji wachezaji wenye uzoefu zaidi. Vipi Abdi Banda wa sauzi? Hapo utaona kuwa siasa zimetawala zaidi ndani ya Taifa stars kuliko malengo ya mpira. Huyu Amunike ni Kocha wa hovyo kama hao walomuajiri na no doubt Tanzania lazima itapigwa na Uganda.
sioni jipya sana hapo na sidhani kama uoembuzi yakinifu umefanyika kupata hayo majina
ReplyDeleteHamna kitu hapo, tutachapwa tuu na Uganda
ReplyDeleteBasi muongeze yule mbeba mizigi Wawa maana kiroho kinakukereketa kama umekula naniiii
DeleteMohamedi khusein shabalala inaonekana uzoefu alionao na anaoendelea kuupata kwenye mechi kubwa za kimataifa barani Africa sio kigezo kizuri cha kumteua kwenye timu ya Taifa badala yake makocha na wahusika wameamua kuteua beki tatu zianazocheza mechi za ndani peke yake? Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana kama shabalala angekuwa Mganda basi angekuwa miongoni mwa wachezaji watakaoitwa nwanzo kwani mechi hizi za kimataifa sio mechi za kwenda kufanyia majaribio ya wachezaji bali ni mechi zinazohitaji wachezaji wenye uzoefu zaidi. Vipi Abdi Banda wa sauzi? Hapo utaona kuwa siasa zimetawala zaidi ndani ya Taifa stars kuliko malengo ya mpira. Huyu Amunike ni Kocha wa hovyo kama hao walomuajiri na no doubt Tanzania lazima itapigwa na Uganda.
ReplyDeleteNaona yule wa kileleni kwa kupachika magoli hayumo katika list
ReplyDeletehahahaha hii ndo Tanzania ama kweli
ReplyDeleteNAweka akiba ya maneno.
ReplyDeleteTuseme Salim Kimenya kinara wa kupachika mabao katika ligi guu ndio hafai g
ReplyDeleteSoma hiyo Saleh mzee wa miassist yumo?Mliandikaga sana eti anapaswa ingia Taiga stars
ReplyDeleteSalum Kimenya hafai, Tshabalala hafai, Mnakatisha tamaa wachezaji wetu.
ReplyDeleteIbrahim Ajibu hafai pia?
ReplyDeleteYule wa azam sure boy au dilunga wanaojua kupiga penetration passes siwaon pia duh
ReplyDeleteKwa muono wa Kocha hao ndio wachezaji bora aliowaona. Tumwache na tumwamini
ReplyDelete