March 2, 2019


MWENDO ni uleule leo Ligi Kuu Bara ambapo michezo minne itachezwa kwa timu nane kushuka uwanjani kuonyeshana ubabe wao.

Ruvu Shooting itakuwa uwanja wa nyumbani Mabatini ikimenyana na Mwadui FC.

JKT Tanzania wapo nyumbaini Uwanja Maj.Gen.Isahmuhyo dhidi ya Coastal Union.

Alliance watawavuta Yanga leo Uwanja wa Kirumba.

KMC watakuwa nyumbani leo Uwanja wa Uhuru wakimenyana na Biashara United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic