April 9, 2019


BAADA ya klabu ya Simba kutinga kwenye Shirikisho la Soka la Mpira Afrika (CAF)  wakihitaji kupewa mwongozo kwa nini wamebadilishiwa mwamuzi wa mchezo wao klabu ya Horoya AC kutoka Guinea wametuma malalamiko yao kwa shirikisho la soka CAF.

 Horoya wametuma malalamiko yao wakimshtumu mwamuzi Eric Otogo Castane kwa kuchezesha chini ya kiwango kwenye mchezo wao dhidi ya Wydad AC.

 Horoya wanalalamika kuwa mwamuzi huyo aliwanyima penati 2 za wazi na hawataki kumuona kwenye mchezo ujao.


Katika mchezo huo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ulikamilika kwa timu zote kuytoshana nguvu kwa kutoka na suluhu ya 0-0

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic