April 13, 2019


MSHAMBULIAJI hatari wa Yanga, Heritier Makambo raia wa DR Congo, amesema kutokana na nafasi anayoicheza, atahakikisha ataendelea kucheza kufanya hivyo ili kuibeba timu yake.

“Mimi nilikuja Yanga kupachika mabao ili timu yangu iweze kupata pointi tatu muhimu katika kila mchezo, hivyo nashukuru Mungu kwa jinsi wachezaji wenzangu wanavyojitoa na kunitengenezea nafasi ili nifunge.

Naamini kwamba nitaendelea kufunga kila mchezo ili tutimize malengo ya kuwa mabingwa,” alisema Makambo.

Johnson James kwa juhudi ili afunge mabao yatakayoiwezesha timu yake kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.

Makambo ambaye juzi alifunga bao moja katika ushindi ambao Yanga iliupata wa mabao 3-2 dhidi ya Kagera Sugar, ameifanya timu yake kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo ikiwa na alama 74, huku yeye akifikisha mabao 15.

Makambo alisema, alisajiliwa Yanga kwa ajili ya kufunga, hivyo atahakikisha anaendelea

4 COMMENTS:

  1. bila kuitaja Simba mnaona habari yenu haijakamilika

    ReplyDelete
  2. waandishi msituzuge KICHWA CHA HABARI HAKIHUSIANI KABISA NA MAELEZO YA NDANI

    ReplyDelete
  3. Ukisikia habari ya kijinga ndio hii..hivi hamna haya akili finyu ya kujua kua Makambo ana mechi 11 zaidi ya Simba!Kwa mfano UPI atamuumiza Bocco au Kagere.Mwandishi hawezi kufikiria hata vitu simple

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic