April 2, 2019






Emmanuel Okwi na Cleotus Chama wameanza mazoezi na kikosi ch Simba kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, leo.

Chama raia wa Zambia na Okwi kutoka Uganda wameungana na kikosi hicho jana.

Simba inashuka dimbani kesho kuivaa JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.


Okwi na Chama walichelewa kujiunga na kikosi hicho kilichotangulia Morogoro.

2 COMMENTS:

  1. magazeti ya kitanzania yanajua yaandikayo

    ReplyDelete
  2. Wajifue kwa mara ya kwanza kwani ndio kwanza wanasajiliwa?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic