April 14, 2019

3 COMMENTS:

  1. Huo ndio ukweli Brother Manara.Wale waliokuwa wanalia na viporo vyetu sasa wasubiri waone kazi inaanza....Simba Oyeeeeee

    ReplyDelete
  2. Nini maaana ya alama? Mmeichora wapi?? Embu wakati mwengine acheni kuja na sababu zisizo na mashiko. Mchezo wa soka ni wa matokeo tuu, hakuna kitu kinachoitwa alama nje ya ubingwa. Ukiwa bingwa ndo tunakuweka alama, sio tofauti na hapo. Nawasilisha

    ReplyDelete
  3. Mjipange kweliiii. Kuna wachezaji km Zana, Chama,Nio Juuko, kwasi, gyan, wawa hao ni mizigoooooo.. Wabongo wapo pia. Timu imekuwa haikabi hasa defend na midfield

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic