April 30, 2019

4 COMMENTS:

  1. Simba hongereni lakini wachezaji wawe na nidhamu kukosakosa nafasi huku kunaifanya mechi kuwa ngumu sana. Kuna siku nyingine timu pinzani isipopewa red card na mwamuzi asipoongeza injury time timu itakuwa na wakati mgumu sana....kwa hiyo wachezaji waambiwe hivyo...siyo kuwapa nafasi Yanga (timu ya wananchi) kuamini kwamba marefa wanaibeba Simba...wakati tunaweza kumaliza mechi mapema

    ReplyDelete
  2. Yanga nae aliongezewa dakika 9 mechi na Lipuli Iringa na akafungwa 1-0.Kr na yeye alibebwa?
    Kuna siku game inakataa .TIMU inayostahili kuchukua ubingwa ni timu inayoshinda mechi zake zilizobakia na kuwazidi wapinzani wake pointi.Hizo za marefa ni visingizio nä uoga wa kufeli.

    ReplyDelete
  3. Duh,red card,dakika za bonasi duh kweli hela zinafanya maajabu duniani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona kuna penalt zaidi ya moja simba kanyimwa
      Wamesahau mechi ya Lipuli walipewa dak 7 za nyongeza. Walifungwa mapema na wakashindwa kutumia muda huo !Kukiwa na substitition kila moja huchukua wastani wa dak moja!muda husimamishwa na kuhesabiwa!Jana substitution zote zinazoruhusiwa kutumika zilitumika. Na mpira unaposimama kama mchezaji ameumia muda husimamishwa. JKT walikuwa wanacheza rafu za kuumiza.. Na kipa wao mara ngapi aliumia?Kama aliumia kweli!Kujiumiza

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic