April 30, 2019

Kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania leo.

Simba imepata ushindi huo mnamo dakika ya 90 zikiwa zimeongezwa 7 kupitia kwa Hassan Dilunga aliyeingia kipindi cha kwanza akichukua nafasi ya John Bocco.

Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha pointi 72 wakibaki nafasi ya pili huku Yanga akiwa bado kileleni na pointi zake 77.

6 COMMENTS:

  1. Bado Mechi 2 Za Viporo Vyura Walie

    ReplyDelete
  2. Bado mechi nne point nne tu.Simba wameunga nne mara mbili ya yanga! Nao Yanga ana magoli nne mara tatu kasoro moja zaidi ya aliyofungwa Simba!

    ReplyDelete
  3. Oyaa mbeleko united, ushindi hadi dakika ziongezwe; hamuoni aibu?
    Halafu baadaye mnatamba looh

    ReplyDelete
  4. Simba hongereni lakini wachezaji wawe na nidhamu kukosakosa nafasi huku kunaifanya mechi kuwa ngumu sana. Kuna siku nyingine timu pinzani isipopewa red card na mwamuzi asipoongeza injury time timu itakuwa na wakati mgumu sana....kwa hiyo wachezaji waambiwe hivyo...siyo kuwapa nafasi Yanga (timu ya wananchi) kuamini kwamba marefa wanaibeba Simba...wakati tunaweza kumaliza mechi mapema

    ReplyDelete
  5. Hata Yanga wamebeka uongozi wa ligi hadi sasa dak ya 80....watapoteza dakik ya 90...itauma sana

    ReplyDelete
  6. Mechi na Lipuli Iringa kaongezewa dakika 9 na bado mkatota 1 sifuri.Mmekuwa mnalalamika kama mwanamke mwenye mimba changa.Nunueni ndimu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic