April 5, 2019

2 COMMENTS:

  1. Mashabiki Simba kama ulaya yaani wapo vuzuri. Sijui wizara au taasisi husika ina taratibu gani ya kumuhamasisha muhamasishaji ila mashabiki wa Simba wanastahiki kuenziwa kwa tunzo maalum nadhani hata CAF huenda wakawapa tunzo maalum mashabiki wa Simba wavuke au wasivuke robo fainali club bingwa Africa. Hongereni sana wana Simba. Simba itabakia kuwa Juu. Kwa wachezaji na Mashabiki kama Ng'ombe basi wana Simba mmeshamla nusu yake kabakia nusu. Mechi ya Mazembe Simba ikishinda na kukivuka kigingi basi itabakia robo kumla ng'ombe wote. Huu ni wakati wa mapambano ya ndani na ya nje ya uwanja kuhakikisha Simba inasonga mbele zaidi club bingwa Africa, hakuna kulala tena. Simba Nguvu moja.

    ReplyDelete
  2. Mpiga picha hajamtendea haki huyu jamaa.kama hakuwa na uhakika, asingepost video kama hiyo. Ajitahidi Sikh nyingine kuwa making anapochukua tukio ili waaomaji tuone katika uhalisia.

    Maana Mimi nikitaka kudhani kama in shabiki wa timu ya wale wenzetu.maana ndo jenzi ilokuwa ikionekana zaidi yaani.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic