May 4, 2019

5 COMMENTS:

  1. Hawa Mazembe Simba tulijipindua sisi wenyewe. Simba tulifanikiwa kutangulia kupata goli zidi ya Mazembe kwao halafu utahangaa jinsi tulivyokwenda kukosa umakini labda kuumia kwa beki zake kulichangia kuizoofisha Simba siku ile.Ila majaribu tuliyoyapata Simba msimu huu wa ligi ya mabingwa Africa lazima iwe ufumbuzi wa mashindano yajayo mwakani kama Simba tutabahatika kuliwakilisha Taifa tena klabu bingwa Africa.Siku zote timu zetu zinatumia nguvu kubwa ya pesa kufikiria kusajili mastraika pekee ila ningeushauri uongozi wa timu yangu kipenzi Simba najua kuna watu makini hivi sasa Wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Muekezaji Msomi Mo kuvunja bank na kutafuta mabeki nguli kweli kweli.Kwangu hata Wawa hatoshi kabisa tusijidanganye akili zetu na kama kocha anafikiri beki yake ilitosha Klabu bingwa Africa basi akili zake zitakuwa ndogo vile vile anahitaji msaada. Vijana wetu, beki kama Paul Bukaba hakika sijui kitu gani kifanyike kwake ili awe bora zaidi kwani ana umbo kamili la beki wa kati.Vijana wetu wakati mwengine lazima wawe wepesi wa kujifunza haraka ili kuchangamkia nafasi kamwe wasisubiri kusukumwa kunako kuwa bora. Lakini vile vile mchezaji mzuri na uwezo wa kiwango chake unaonekana mapema mfano Shomari kapombe,alikuja Simba akiwa na umri mdogo kabisa na tangu wakati huo Kapombe amebakia kuwa kapombe. Kwanza ni Mchezaji mwenye kujitoa kwa ajili ya timu kwa asilimia mia moja,Mungu ampe afya njema zaidi Shomari kwa kweli tuna kumisi. Ninachotaka kukieleza hapa ni kwamba lazima Simba itengeneze beki ya kwenda kushinda kombe la UEFA champions league kama tuna nia ya angalau kufika nusu fainali ya klabu bingwa Africa kwani mpira wa Africa una mambo ya ajabu sana na ukipiga hisabu ndogo ya mchezo siku zote utapigwa wewe. Na hasa kwa hii staili yetu Simba ya kushinda nyumbani basi angalau tuwe na beki na timu ambayo inauwezo angalau kupata sare ugenini na naamini bado tunaendelea kujifunza ila ni busara kuyafanyia home work yale yaliyo tufelisha kwanza.

    ReplyDelete
  2. Angalia hizo statistics!Kama Mazembe wameyolewa ni basi bahati haikuwa yao!

    ReplyDelete
  3. Hata Simba na Mazembe ukiangalia statistics Dareslaam bahati haikuwa yao. Vipi kama Simba angefunga goli mbili zidi ya Mazembe Dareslaam +1 la Lubumbashi ambao Simba licha ya kupoteza penalt Boko pekee alikosa mabao kama matatu ya wazi.

    ReplyDelete
  4. Duuuuuuuuh, hapo waarabu waliweka beki asili 7, viungo wakabaji 2 na mshambuliaji 1. Yaani hawakuingia tamaa kutaka kuongeza goli pamoja na kupata ushindi mwembamba kwao. Hivyo waliamua kulinda kile kidogo walichokipata kwao.

    Sisi Simba kilichotuponza ni mechi ya hapa Dar tu, nina uhakika walau tungepata goli 1 au 2, kule tulikuwa na uwezo wa kwenda na plan ya kukaba na kulinda kwa kimiliki tu. Lakini kukosa goli hapa Dar kulisababisha na sisi kwenda kwenye nyumba ya mwenyeji kushambulia.Tukakosa nidhamu ya mgeni kwa mwenyeji wake.

    ReplyDelete
  5. tatio simba ilikuwa game plan ya kocha kwani baada ya kuwafunga goli moja mazembe simba walirudi nyuma kukaba badala ya kuendelea kushambulia pia beki kama wawa au zaha sio mabeki wa kutegemewa pamoja na shabalala ingawa yeye umri unamruhusu lakini amekuwa akikosa umakini sana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic