May 21, 2019


Arsenal wamethibitisha kwamba Henrikh Mkhitaryan ataukosa mchezo wa fainali ya Europa League kutokana na masuala ya kiusalama utakaochezwa wiki ijayo.
Mkhitaryan ameambiwa kwamba anapaswa apumzike ili awe salama kutokana na masuala ya kisiasa kati ya Armenia na Azeebaijan kuhusiana na suala la jimbo la Nagorno Karabakh.
Fainali ya Europa League kati ya Arsenal na Chelsea inatarajiwa kuchezwa Mei 29

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic