May 21, 2019


FT Singida United 0-2 Simba
Uwanja : Namfua
Kipindi cha pili

Goal John Bocco dk ya 61
Goal Kagere dk ya 9

Kened Willson wa Singida United anaonyeshwa kadi ya njano.

Geofrey Mwashiuya anakwenda benchi anaingia Saad Juma
Said Lubawa anakwenda benchi anaingia David Kissu Dk 63
Boniface Maganga anakwenda benchi anaingia Mathew

Emanuel Okwi anakwenda benchi anaingia Jonas Mkude dakika ya 75. 

Kagere anakwenda benchi anaingia Chama dk ya 85
Niyonzima anakwenda benchi anaingia Dilunga dk ya 79.

MCHEZO kati ya Singida United na Simba uwanja wa Namfua kwa sasa ni kipindi cha pili.

Meddie Kagere anafunga bao la kwanza na kuwanyanyua  mashabiki wa Simba dakika ya 9 baaada ya mabeki wa Singida United kujichanganya, John Bocco anafunga bao la pili dakika ya 61 kwa kichwa.

Mashabiki wengi wamejitokeza uwanja wa Namfua kushuhudia mchezo wa leo ambao una ushindani kwa timu zote mbili.

3 COMMENTS:

  1. Simba Bingwaaaaa!!!! Goalkeaper Wa Singida Kituko Leo Wadau Mnaonaje Tukio Lile

    ReplyDelete
  2. Oyaa waliojifanya kuanza kucheza Dar mechi 12 mfululizo katika round ya kwanza.Walijifanya wajanja kumbe ujinga mtupu!hesabu mbaya Zuhura.Jaribu tena mwakani

    ReplyDelete
  3. Kama isingekuwa dhuruma na ushenzi wa Malinzi na Mwesigye hili lingekuwa kombe la tatu na Simba wangechukua kombe moja kwa moja!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic