May 21, 2019

KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho kati ya Yanga na Mbeya City utakaochezwa uwanja wa Uhuru wachezaji saba wa kikosi cha kwanza watakosekana kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa Malaria.

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa mchezo wa kesho utakuwa mgumu kutokana na aina ya kikosi ambacho anakutana nacho pamoja na matatizo ya kiuchumi ambayo wanapitia.

"Ninja,(Abdallah Shaibu),  Dante (Vincent Andrew), Abdul (Juma), Mohamed Issa  (Banka) Saidi Makapu, Paul Godfery," amesema Zahera.

3 COMMENTS:

  1. Wote hao wana matatizo ya femilia

    ReplyDelete
  2. Uongozi mpya yaani umekuja na nuksi....wale Wanayanga wenye hasira wako wapi? Habari zinaendelea kuwa si nzuri sana wachezaji wote tegemeo wanaondoka wengine wakiuzwa na wengine mikataba ikiisha bila kuongezwa....jamani jamani hebu harakisheni kuokoa hali.....maumivu yanaendelea....hakuna habari njema wiki hizi mbili na mwezi mzima wa 5. Rekebisheni hali kwa kusajili at least mikataba ya awali ili kutoa moyo na kutia hamasa kwa wapenzi kuendelea kuchangia.....ukimya huu unaogopesha na ni hatari....mmeshaijenga chuki kwa wanayanga kuna wadau wa Yanga hawajitokezi kusaidia kwa kuwa tu hakuna dalili za kuanza kuleta mashine za uhakika hakuna hata mikataba ya awali kwa washambuliaji wakali na viungo wakali au mabeki wakali....Kuna kundi kubwa limeandaa fujo hawa ni wanachama ambao hawapendi hizi habari za huzuni zinazoendelea (Ajibu anaondoka burr, Makambo anauzwa, wachezaji 7 wanaumwa kuikosa Mbeya City, ubingwa kuchukuliwa na Simba, Sportspesa kuileta Sevila kucheza na Simba na siyo Yanga...nk. Na habari mbaya ndio zinazoendelea) Sasa amani ya nchi itavurugika....kwa kuwa kuna watu wanaumizwa na hizi habari...

    ReplyDelete
  3. jamani hii malaria ni kwa yanga tuuu wote hao mbona hyo malaria haikuwepo hapo nyuma?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic