Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na suala la Yanga kuandaa vinywaji kuelekea hafla yao Iftar Gala Dinner.
YANGA WAPOKEA USHAURI HUU KUTOKA KWA HAJI MANARA
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na suala la Yanga kuandaa vinywaji kuelekea hafla yao Iftar Gala Dinner.
jamaa anaongea kwa nidhamu kama si yeye aliyetuahd kuvaa jezi ya yanga, kweli mwez mtukufu kiboko
ReplyDeletejamaa anaipenda futari kuliko simba yke,kumbuka manara unadeni tulikuchangia ukaenda kutibiwa India na miwan hyo unayotumia imetokana na bakuri la yanga
ReplyDeleteKama unasubiri mwaliko basi imekukata ,kwani thamani yako kwa club kubwa km Yanga no vitu viwili tofauti ,p/see km ni futari kaweke order canteen
ReplyDelete