HII SASA NI BALAA, YANGA YASAINI TISA WAPYA, SIMBA MNATOKAJE- VIDEO
Yanga imepania acheni utani jamani, hii ni kutokana na usajili wanaoendelea kuufanya na tayari wamekamilisha saini za wachezaji tisa kati hao sita kutoka nje ya nchi na wawili wazawa.
Timu hiyo imemalizana na mastaa tisa ambao tayari wamesaini mikataba ya miaka miwili kila mmoja na kati ya hao yupo kipa wa Bandari, Farouk Shikalo.
Tutatoka tu! Nyie endeleeni kusajili tu..
ReplyDelete