June 2, 2019


Mshambuliaji na Kiungo wa Team Kiba Shiza Kichuya na Feisal Salum wamefunguka kuwa kwa kikosi chao kilivyo lazima wawafunge timu Samatta kutokana na ni timu nzuri na ina wachezaji wazuri na vijana.

Kampeni ya Nifuate ni msimu wake wa pili kwa sasa ambapo maboresho yatakua makubwa hivyo Samatta na Ali kiba wamewataka mashabiki kujaa kwa wingi uwanjani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic