Beki mkongwe nchini David Mwantika amerudishwa katika kikosi cha Taifa Stars kilichopo Misri kujiandaa na mashindano ya AFCON.
Mwantika amerejeshwa baada ya kuumia kwa Aggrey Morris wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Misri.
Mwantika aliachwa katika mchujo wa mwisho nchini Misri uliofanyika kabla ya kuanza kwa mechi za kirafiki.
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Juni 21 nchini humo ambapo Stars itakuwa inashiriki baada ya miaka 39 kupita bila kushiriki.








Huyo Kocha hovyoo inamaana mtu akiumia hakuna replacement kwenye kikosi mpaka uite uliemwacha hapo hakuna team balance mwisho wa simu utashangaa mtu anaitwa mechi zikiendelea za afcon
ReplyDeleteUmekurupuka kijana
DeleteMkojera elewa reserve alikuwepo lakini unasikia Morris kaumia inamaana aliyepo ndiye anatafutiwa reserve wake
ReplyDelete