Niwapongeze tu Simba kwa kuona mbali nakuwa na watu makini katika masuala ya usajili. Baadhi ya Vyombo vya habari vyetu vimeendelea kuonesha uweledi mdogo kabisa katika kuvisaidia vilabu vyetu kuwa makini na masuala ya usajili kuelekea klabu Africa . Wanaendekeza ushabiki zaidi au kuuza gazeti kuliko kuzingatia uhalisia wa mambo.Huyu wakala ni mtu makini na Simba wanapaswa kumshukuru na kuendelea kufanya nae kazi kwani ameonesha licha ya kufanya biashara na Simba lakini ameonesha dhamira yakuwa Simba inakuwa bora zaidi kupita viwango vya kawaida ili kuleta ushindani zaidi barani Africa.Huyo mchezaji wanaesema ni mfungaji bora ligi ya Uganda kwanini kashindwa angalau kuwemo kwenye kikosi cha awali cha timu ya Taifa ya Uganda? Ana cape au uzoefu gani kwenye kwenye timu ya Taifa ya Uganda? Yanga lazima wawe makini na masuala ya usajili waache mihemko. Sio kila mchezaji anaejitangaza kutaka kusajiliwa na Simba wakaona kwao anafaa. Wakumbuke kuwa wanakwenda kuiwakilisha nchi kimataifa mwakani kwa hivyo wanahitaji wachezaji wenye uzoefu zaidi na mechi za kimataifa. Ikiwa Simba hata kwa Makambo Shujaa wa Yanga hawakuona kama ni mchezaji anaewafaa vipi kwa huyu bwana mdogo wa Uganda? Ni sawa na kuuziwa Punda kwa sifa ya mlio bila ya kujiridhisha na ufanisi wake wa kazi. Kwa vyombo mmesikia wakala wa Bilinyi anavyosema lakini? Simba hawakuwa wakimuhitaji huyo mchezaji sasa umafia gani aliofanyiwa Simba? Zaidi ya Yanga kuingizwa chakani.
Povu la mini!? Simba haikuwa na uwezo was kumnunua Makabo!! Pia kuwa kwenye kikosi cha timu ya taiga ni maamuzi ya kocha kulingana na wachezaji alionao. Wachezaji wangapi was bongo wamebaki na walikuwa na kiwango kizuri kizuri tu!? Leo hii mnang'ang'ana na Ajibu halafu mnasema hamumtaki Makambo!?
Dawa imfikie Mwakalebela alidhani kuwa tumeshindwa bali tumemkataa wenyewe kama tulivyowakataa kina Lamine Moro (beki) na Sadney Urikho (striker) lakin wao vyura wamewabeba wakidhani wamelamba kumbe wamelambwa.. Hahahahaaaaaaaaa
Niwapongeze tu Simba kwa kuona mbali nakuwa na watu makini katika masuala ya usajili. Baadhi ya Vyombo vya habari vyetu vimeendelea kuonesha uweledi mdogo kabisa katika kuvisaidia vilabu vyetu kuwa makini na masuala ya usajili kuelekea klabu Africa . Wanaendekeza ushabiki zaidi au kuuza gazeti kuliko kuzingatia uhalisia wa mambo.Huyu wakala ni mtu makini na Simba wanapaswa kumshukuru na kuendelea kufanya nae kazi kwani ameonesha licha ya kufanya biashara na Simba lakini ameonesha dhamira yakuwa Simba inakuwa bora zaidi kupita viwango vya kawaida ili kuleta ushindani zaidi barani Africa.Huyo mchezaji wanaesema ni mfungaji bora ligi ya Uganda kwanini kashindwa angalau kuwemo kwenye kikosi cha awali cha timu ya Taifa ya Uganda? Ana cape au uzoefu gani kwenye kwenye timu ya Taifa ya Uganda? Yanga lazima wawe makini na masuala ya usajili waache mihemko. Sio kila mchezaji anaejitangaza kutaka kusajiliwa na Simba wakaona kwao anafaa. Wakumbuke kuwa wanakwenda kuiwakilisha nchi kimataifa mwakani kwa hivyo wanahitaji wachezaji wenye uzoefu zaidi na mechi za kimataifa. Ikiwa Simba hata kwa Makambo Shujaa wa Yanga hawakuona kama ni mchezaji anaewafaa vipi kwa huyu bwana mdogo wa Uganda? Ni sawa na kuuziwa Punda kwa sifa ya mlio bila ya kujiridhisha na ufanisi wake wa kazi. Kwa vyombo mmesikia wakala wa Bilinyi anavyosema lakini? Simba hawakuwa wakimuhitaji huyo mchezaji sasa umafia gani aliofanyiwa Simba? Zaidi ya Yanga kuingizwa chakani.
ReplyDeletePovu la mini!? Simba haikuwa na uwezo was kumnunua Makabo!! Pia kuwa kwenye kikosi cha timu ya taiga ni maamuzi ya kocha kulingana na wachezaji alionao. Wachezaji wangapi was bongo wamebaki na walikuwa na kiwango kizuri kizuri tu!? Leo hii mnang'ang'ana na Ajibu halafu mnasema hamumtaki Makambo!?
DeleteKwan kagere Yuki api?kotei Yuki ap? Suala LA timu ya taifa in maamuz ya kocha
DeleteDawa imfikie Mwakalebela alidhani kuwa tumeshindwa bali tumemkataa wenyewe kama tulivyowakataa kina Lamine Moro (beki) na Sadney Urikho (striker) lakin wao vyura wamewabeba wakidhani wamelamba kumbe wamelambwa.. Hahahahaaaaaaaaa
ReplyDeleteWanasema tumewapiku Simba. Suala ni kama lile la Salamba na Rashid waliokuwa wanazifunga zile timu laini za mitaani na Mnyama akavamia kuwasajili
ReplyDeleteMdomo na sauti ni vitu viwili tofauti kabisa katika iyo clip hahaha wabongo bhana
ReplyDelete