June 23, 2019

6 COMMENTS:

  1. Hahaahaaa....Nafikiri Congo walipuliziwa madawa....alisikika mlevi mmoja pale matopeni.

    ReplyDelete
  2. hakosi visingizio

    ReplyDelete
  3. Simba waliwapa mbinu mbadala Uganda kumfunga Zahera....
    Zahera aliishafungwa kabla ya mechi baada ya kumuuona Okwi na Juuko.

    ReplyDelete
  4. Simba kiboko haitowi Mchezaji kichefuchefu kwenda timu ya Taifa nadhani Zahera anapata nafasi ya kuileewa zaidi Simba sasa. Nataraji atarudi bongo na heshima zaidi .

    ReplyDelete
  5. Zuhura bwana hata Yanga walipokuwa wakipoteza katika ligi kuu alikuwa na sababu lukuki!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic