ATLETICO Madrid bado wanaikomalia Barcelona juu ya uhamisho wa mchezaji wao Antonie Grienzmann.
Licha ya Barcelona kudai kwamba wamezingatia kanuni ya uhamisho kwa kuzingatia kipengele cha kuvunja mkataba wake kwa kitita cha Euro milioni 120.
Inaelezwa kuwa Shirikisho la Soka nchini Hispania linafanyia uchunguzi wa uhamisho wa mchezaji huyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment