July 13, 2019

UONGOZI wa Azam FC umechekelelea kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC Jaffari Maganga amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kupenya hatua hiyo kutokana na ushindani uliopo.

"Tumepata fursa ya kupenya robo fainali baada ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC, hivyo kwa sasa tunaendelea kujipanga kutetea taji letu," amesema Maganga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic