July 20, 2019

11 COMMENTS:

  1. Hizi ndizo mechi za kujipima na sio zile za kujidanganya

    ReplyDelete
  2. Township rollers ni ya Botswana na Siyo Zimbabwe! Kindly apologize

    ReplyDelete
  3. Township Rollers wababe wa Migongo wazi ni wa Botswana.

    ReplyDelete
  4. Subiri mjipime kwa malengo yenu, ila mkirudi Bongo tunawanyoa tu hamna namna

    ReplyDelete
  5. mm nawaonea huluma ndugu zetu maana mechi za kilafik wanache na timu ya daraja la 9 halafu wajisifia sijui uchizi unawakalibia

    ReplyDelete
  6. Kuyokana na ushindi mkubwa Sana mlioupata Morogoro hasa ule WA Goli kumi nina hakika Hakuna timu itayoweza kukusimamisheni mpaka mtwae ubingwa na kutikisa katika klabu bingwa Africa

    ReplyDelete
  7. Mda utatoa majibu nani kajiandaa vzr

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic