KWA sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
Hii hapa ratiba ya mechi za kirafiki
Julai 23
Simba v Orbret TVET inamilikiwa na chuo ya ipo kilichopo Afrika Kusini
Julai 24
Simba v Platinum ya Afrika Kusini
Julai 27
Simba v Township Rollers ya Zimbabwe
Julai 30
Simba v Orlando Pirates ya Afrika Kusini







Hizi ndizo mechi za kujipima na sio zile za kujidanganya
ReplyDeleteUna maana Makwasukwasu FC?
ReplyDeleteTownship rollers ni ya Botswana na Siyo Zimbabwe! Kindly apologize
ReplyDeleteTownship Rollers wababe wa Migongo wazi ni wa Botswana.
ReplyDeleteSubiri mjipime kwa malengo yenu, ila mkirudi Bongo tunawanyoa tu hamna namna
ReplyDeletemm nawaonea huluma ndugu zetu maana mechi za kilafik wanache na timu ya daraja la 9 halafu wajisifia sijui uchizi unawakalibia
ReplyDeleteKuyokana na ushindi mkubwa Sana mlioupata Morogoro hasa ule WA Goli kumi nina hakika Hakuna timu itayoweza kukusimamisheni mpaka mtwae ubingwa na kutikisa katika klabu bingwa Africa
ReplyDeleteangalia na timu wanachoccheza nazo.
DeleteWaiombe na keizer chief
ReplyDeleteWaiombe na keizer chief
ReplyDeleteMda utatoa majibu nani kajiandaa vzr
ReplyDelete